new york

IQNA

IQNA – Katika kipindi cha kuelekea kuanza kwa upigaji kura wa mapema, mgombea wa umeya wa Jiji la New York, Zohran Mamdani, ametetea imani yake ya Kiislamu huku akilaani “mashambulizi ya kibaguzi na yasiyo na msingi” kutoka kwa wapinzani wake, akionya kuwa chuki hizo dhidi ya Uislamu hazimlengi yeye tu bali pia takribani Waislamu milioni moja wanaoishi jijini humo.
Habari ID: 3481417    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/26

IQNA – Baraza la Mahusiano ya Kiislamu ya Marekani (CAIR) limeitaka kampuni ya uwekezaji ya Sequoia Capital kumwondoa mshirika wake Shaun Maguire, kufuatia chapisho la mitandao ya kijamii lililokosolewa vikali kwa kuendeleza chuki dhidi ya Waislamu.
Habari ID: 3480934    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/12

Mwezi wa Ramadhani
TEHRAN (IQNA) – Kwa mwaka wa pili mfululizo, mamia ya Waislamu waliokuwa katika Saumu ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani walifuturu na kusali Sala ya tarawehe katika uwanja wa Times Square mjini New York nchini Marekani.
Habari ID: 3476786    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/30

Waislamu Marekani
TEHRAN (IQNA) – Gwaride la 38 la Kila Mwaka la Siku ya Umoja Waislamu wa Marekani lilifanyika Manhattan, jijini New York.
Habari ID: 3475844    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/26

Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA) – Msikiti mmoja huko Paterson, jimbo la New York Marekani, umelengwa na wahalifu wenye chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu mapema wiki hii.
Habari ID: 3475588    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/06

Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA) – Watu wawili walirusha kitu kinachofanana na bomu la molotov kwenye nembo kubwa ya hilali nje ya Msikiti wa Fatima al-Zahra huko Long Island, New York, Marekani siku chache kabla ya sherehe ya Kiislamu ya Idul Adha.
Habari ID: 3475498    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/13

TEHRAN (IQNA)- Orodha ya maeneo yenye huudma na bidhaa Halal katika mji wa New York, Marekani imechapishwa kwa lengo la kuwasaidia wenyeji na watalii Waislamu katika jiji hilo ambalo ni makao makuu ya Umoja wa Mataifa.
Habari ID: 3475256    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/16

TEHRAN (IQNA)-Waislamu nchini Marekani wamelaani hujuma ya kigaidi iliyojiri Jumanne mjini New York katika mtaa wa Manhattan na kupelekea watu 8 kupoteza maisha.
Habari ID: 3471241    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/01